Discover the finest grain food products at Hillmill, where quality meets sustainability!

Unga wa Sembe – Sembe Bora ya Hillmill

Posted by:

|

On:

|

,

Kampuni yetu inajivunia kuzalisha Unga wa Sembe wa kiwango cha juu, uliotengenezwa kutokana na mahindi borayaliyokaguliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha ubora, usalama na lishe kwa watumiaji. Tunafuata misingi yetu ya msingi ya Afya na Nguvu, kuhakikisha kila mfuko wa unga unaotoa thamani halisi kwa wateja wetu.

Tunauza Unga wa Sembe Jumla katika ujazo mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya maduka, masoko na wafanyabiashara wa jumla:

  • 1 KG – Unga wa Sembe safi na laini
  • 5 KG – Chaguo bora kwa familia
  • 10 KG – Sembe ya bei nafuu na bora
  • 25 KG – Unga wa Mahindi wa kiwango cha biashara

Kila kifurushi kimefungashwa kwa usalama ili kuhakikisha bidhaa inabaki kuwa safi, yenye harufu nzuri na isiyochanganywa.

Usambazaji Kote Arusha

Tunasambaza Unga wa Sembe mkoa mzima wa Arusha bure kwa waters wetu wa jumla, tukifanya kazi na wauzaji wa jumla na rejareja. Lengo letu ni kuhakikisha mteja popote alipo anapata Sembe ya ubora wa juu, iliyotengenezwa kwa viwango vya kisasa na kusagwa kwa ustadi. Kwa mawasiliano zaidi kuhusu unga wetu waweza wasiliana nasi kupitia namba zetu.

Kwa Nini Kuchagua Unga Wetu?

  • Umezalishwa kutoka mahindi bora
  • Unga laini, mweupe na wenye ladha nzuri
  • Bidhaa safi na salama
  • Bei rafiki kwa wafanyabiashara wa jumla
  • Ubora unaoendana na kauli mbiu yetu: “Afya na Nguvu”

Posted by

in

,